Wasilisha Lalamiko Lako
KUWASA inaheshimu na kuthamini maoni na malalamiko ya wateja wetu. Tuko tayari kusikia changamoto unazozipata ili tuweze kuboresha huduma zetu.
Aina za Malalamiko Tunazopokea
Ukosefu wa Maji
Maji yamekosekana eneo lako
Uvujaji wa Maji
Bomba limevuja au limekatika
Tatizo la Mita
Mita imeharibika au usomaji wa shaka
Bili Isiyo Sahihi
Bili kubwa kuliko matumizi
Ubora wa Maji
Maji machafu au harufu mbaya
Huduma kwa Wateja
Matatizo ya huduma
Fomu ya Malalamiko
Njia Nyingine za Kuwasilisha Malalamiko
- Simu: Piga 0800 110 028 (Bure)
- WhatsApp: +255 28 280 2001
- Barua Pepe: complaints@kuwasa.go.tz
- Ofisi: Fika ofisi yetu ya karibu
- SMS: Tuma SMS kwenda 15028
Muda wa Majibu
Malalamiko yote yanajibiwa ndani ya saa 48. Matatizo ya dharura yanashughulikiwa mara moja.